Scan date : 19/05/2024 09:03
DayHourType Event Name LangEvent nameShort EventExtended LangExtended Event
19/0516h00>18h00 (0x12) adventure
western
war
swaChelsea V Afc BournemouthChelsea V Afc BournemouthswaCHELSEA v AFC BOURNEMOUTH
19/0518h00>18h30 (0x12) adventure
western
war
swaHabariHabariswaKipindi kikuu cha taarifa ya Habari ikiangazia matukio mbali mbali ya ndani na nje ya nchi.
19/0518h30>19h00 (0x12) adventure
western
war
swaJarida La WikiendJarida La WikiendswaKipindi maalum.
19/0519h00>20h00 (0x12) adventure
western
war
swaMizani Ya WikiMizani Ya WikiswaHiki ni kipindi cha mahojiano ambacho hufanyika kila wiki kujadili matukio makubwa ya ndani yaliyojitokeza ndani ya wiki hiyo. Hujumuisha wataalamu wa sekta mbalimbali.
19/0520h00>21h00 (0x12) adventure
western
war
swaHello WikiendHello Wikiendswa
19/0521h00>21h30 (0x12) adventure
western
war
swaHabari Habari swa
19/0521h30>22h00 (0x12) adventure
western
war
swaKazi Ni KaziKazi Ni KaziswaKipindi hiki huangalia kazi ambazo zimedharaulika, lakini kuna watu ambao wanazifanya na zinawafanya waishi maisha mazuri. Kipindi ambacho kinahamasisha vijana kutochagua kazi, badala yake kuwa wabunifu na kufanya kazi na kufikiria nje ya mzunguko wa mazingira yao.
19/0522h00>22h30 (0x12) adventure
western
war
swaMtaa Wa MitindoMtaa Wa MitindoswaKipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo.
19/0522h30>23h00 (0x12) adventure
western
war
swaMakalaMakalaswaThe focus of the program is on Youth Enterprenuership and how youth can emancipate themselves from being depadant and become independent
19/0523h00>00h00 (0x12) adventure
western
war
swaPlaylistPlaylistswaHii ni programu ya muziki ambayo huonyesha aina ya nyimbo mbalimbali mpya ambazo zinatengenezwa na wanamuziki wa Kitanzania.
19/0500h00>00h30 (0x12) adventure
western
war
swaHabariHabariswaKipindi kikuu cha taarifa ya Habari ikiangazia matukio mbali mbali ya ndani na nje ya nchi.
19/0500h30>01h00 (0x12) adventure
western
war
swaMedicounterMedicounterswaHiki ni kipindi ambacho kimetengenezwa kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya afya na lishe na hasa katika jamii yetu ya Tanzania. Huangazia magonjwa mbalimbali yawe ya mlipuko mkubwa na yale yanayojitokeza katika jamii mmoja mmoja. Mada zake zimefanyiwa utafiti kwa umakini mkubwa na mjadala
20/0501h00>01h30 (0x12) adventure
western
war
swaMakabilaMakabilaswaKipindi kinachohusu makabila ya watu tofauti tofaoti, pia kufanya mahojiano na wageni mbali mbli.
20/0501h30>02h00 (0x12) adventure
western
war
swaMtaa Wa MitindoMtaa Wa MitindoswaKipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo.
20/0502h00>02h30 (0x12) adventure
western
war
swaMakalaMakalaswaHiki ni kipindi cha Makala ambazo huzungumzia masuala ya kiuchumi, kijamii na kisiasa au teknolojia kila wiki kutokana na maendeleo ya tukio husika wiki hiyo.
20/0502h30>03h30 (0x12) adventure
western
war
swaPlaylistPlaylistswaHii ni programu ya muziki ambayo huonyesha aina ya nyimbo mbalimbali mpya ambazo zinatengenezwa na wanamuziki wa Kitanzania.
20/0503h30>04h00 (0x12) adventure
western
war
swaMakalaMakalaswaThe focus of the program is on Youth Enterprenuership and how youth can emancipate themselves from being depadant and become independent
20/0504h00>07h00 (0x12) adventure
western
war
swaMorning Trumpet LiveMorning Trumpet LiveswaHii ni programu ya asubuhi ambayo inaangazia mambo mbalimbali yanayotokea nchini na duniani kuanzia habari za kawaida, michezo na burudani. Huangalia matukio makubwa na kuyachambua kwa.
20/0507h00>11h00 (0x12) adventure
western
war
swaBunge 12Bunge 12swa
20/0511h00>12h00 (0x12) adventure
western
war
swaAdhuhuri LiveAdhuhuri LiveswaAdhuhuri Liv
20/0512h00>13h00 (0x12) adventure
western
war
swaMizani Ya WikiMizani Ya WikiswaHiki ni kipindi cha mahojiano ambacho hufanyika kila wiki kujadili matukio makubwa ya ndani yaliyojitokeza ndani ya wiki hiyo. Hujumuisha wataalamu wa sekta mbalimbali.
20/0513h00>14h00 (0x12) adventure
western
war
swaAlasiri Lounge LiveAlasiri Lounge LiveswaHii ni programu ya jioni ambayo hutoa habari kwa majadiliano na burudani, kwa njia ambayo haiwezi kumchosha mtazamaji. Hujumuisha habari za kawaida kutoka maeneo mbalimbali, habari za michezo na habari za Jiji la Dar es Salaam. Habari nyingine ni zile ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii, wasanii, wanamuziki na pia staili za maisha.
20/0514h00>15h00 (0x12) adventure
western
war
swaWatoto ShangweWatoto ShangweswaHiki ni programu ambayo imejielekeza zaidi kwa watoto ikiwa na lengo la kuwapa elimu, kuwahabarisha na kuwaburudisha kupitia njia mbalimbali za michezo. Kipindi hiki huanzia darasani ambapo wanafunzi.
20/0515h00>16h00 (0x12) adventure
western
war
swaShow CaseShow CaseswaHiki ni kipindi cha muziki ambacho huwaleta watu mbalimbali katika kuuelezea muziki wa Tanzania. Huwajumuisha wanamuziki, watengenezaji muziki, wacheza shoo, wafadhili, watengeneza video, na wataalamu mbalimbali katika tasnia ya muziki ambao huwa wana nafasi ya kuuelezea muziki kwa kina zaidi.
20/0516h00>16h30 (0x12) adventure
western
war
swaViumbe Hai Viumbe Hai swaHii ni programu ambayo huangalia viumbe hai kuanzia wadudu mpaka wanyama wakali wafugwao na wasiofungwa. Huonyesha maisha yao, jinsi ya kuishi nao, changamoto zao na huonyesha jinsi binadamu anavyofanya kuwafanya wanyama hao waendelee kuishi hapa duniani.
20/0516h30>17h00 (0x12) adventure
western
war
swaMtaa Wa MitindoMtaa Wa MitindoswaKipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo.
20/0517h00>17h30 (0x12) adventure
western
war
swaMakalaMakalaswaHiki ni kipindi cha Makala ambazo huzungumzia masuala ya kiuchumi, kijamii na kisiasa au teknolojia kila wiki kutokana na maendeleo ya tukio husika wiki hiyo.
20/0517h30>18h00 (0x12) adventure
western
war
swaMedicounterMedicounterswaHiki ni kipindi ambacho kimetengenezwa kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya afya na lishe na hasa katika jamii yetu ya Tanzania. Huangazia magonjwa mbalimbali yawe ya mlipuko mkubwa na yale yanayojitokeza katika jamii mmoja mmoja. Mada zake zimefanyiwa utafiti kwa umakini mkubwa na mjadala
20/0518h00>19h00 (0x12) adventure
western
war
swaHabariHabariswaHii ni kipindi cha taarifa ya habari ambacho hukusanya habari za matukio yote ya siku ya ndani na kimataifa na kuyaweka katika mtindo tofauti na kuwapelekea wananchi huku kikiwa na wachambuzi mbalimbali.